COAST ALL DIVAS AFFAIR!! WANADADA KUMI WAHITAJIKA HARAKA KWENYE COLLABO YA SQ RECORDS!
Chini ya produza Amz Jadidi, SQ records inawaleta pamoja wasanii
chipukizi wa kike kumi kufanya collabo kali. Produza Ammz alinena haya
kupitia facebook....."
Je, wewe ni msanii wa kike unayechipuka kutoka hapa Msa na unahisi una
uwezo wa kuthibitisha talanta yako? Jiunge na wenzako kwenye collabo
kubwa ya wanadada 10 inayoendelea kufanyika. Masharti; Usiwe msajiliwa
wa studio yoyote na usiwe umechezwa katika radio yoyote. Piga
nambari....0789601555."
Kina dada ni wakati wa kuskika,nafasi imejitokeza
Comments
Post a Comment