DONDE SAMORA SHARES SEVEN THINGS YOU DIDN'T KNOW ABOUT HIM:


 Donde Samora the founder member of mashavmashav, many know him through his comic humour, deep voice and last but not least a good radio personality who still rules the airwaves upto date. Donde shared with us his little secrets........wengi wetu tulikua hatujui........ LIGHTS,CAMERA,ACTION........ 
1.Nilikua Mwenyekiti Wa Jumuia Ya MT.Anthony Mtopanga Estate Kanisa Katoliki La Mtopanga kwa miaka miwili. 
2.Nilikua Presenter Wa Kwanza Kuresign Kazi Baraka FM Wakubwa Walipoanza Kuwatishia Wafanyikazi. 
3.Mke wangu ni graduate wa Kenyatta University na anaendesha shule zake kadhaa hapa Mombasa. 4.Nilisoma Kenya poly, kenya school of monetary studies na Kenyatta University 
5.Nilisomea Banking Diploma but sikuget job ya Bank ndio nikaingia mambo ya mass communication. 
6.Nilikuwa Traditional Dancer Nikiwa Mukumu Boys. 
7.Nina Watoi Watano. First Born Yuko Kenya High Form 1

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA