NUSU SAA NA RAIS LYRICS - ODINAREH BINGWA

Yeah..Odinareh Bingwa,Skizza.. Picture me bila suti ka Easy E 
ndani ya state house though najua sio easy G 
pamba ni dungaree apiel nade tsho ya polo 
Chini ni timba ju ngepa macho angolo 
Chini ya ulinzi mkali kwa halls za white 
Presidential security black suits are tight 
Na napenda architect ya huku ndani big pillars 
Walls zina art paintings na big pictures 
Za jommo arap moi kibaki na wakoloni 
Zingine za rais wetu cku zake za utotoni 
Mara nafikishwa afisi ya rais kenyatta 
Karibu,utanywa nini? 
kahawa nyeusi ntapata? Bila shaka!!
kwa ile harakati ya kufanya vijana wa stay positive, Ka damu ya poko vct!!
Cctv cameras hadi kwenye sakafu 
Ac hadi chooni hali ya anga barafu 
mara anaingia rais mambo vipi Odinareh? 
Mbona mzuka mtukufu nipe ndonga hope kaleeeh!! 
[Chorus] Ningepata tu Nusu saa na rais Najua wengi wetu twatamani fursa hio rahis 
Dakika salasa hivi na Orezzo Nimpe mawazo yangu ni venye sina uwezo x2 
[Verse2]

 Rais akadai Odinareh karibu keti, Askari tafadhali nina mgeni nipe spesi Mara akaingia Mike Sonko "Vip

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA