DOGO RICHY ATETEA JUNGLE MASTERS.


Msanii Dogo Richy hastahimili maneno ya watu wanaoneza chuki na malumbano kwenye kikosi chake. Msanii huyo alikuwa na haya ya kunena kupitia ukurasa wake wa facebook na......" Jungle masters is still strong managing almost 6 artistes si mchezo our big bro Emmy d amekuwa na kazi ngumu, bt we are together, what i can tel ma brothers Lypso Majid Harsh B ,Emlendy and others siku zote shetani huvamia mahali kuna mkono wa sir GOD ,we wont give up na kama wewe umekuwa fan wa jungle toka long time, big music inakam GOD bless our Team plus our C.E.O Adio sema jungle 4ever...."

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA