PRESENTER GATES AKASHIFU NYIMBO MPYA YA ODINAREH BINGWA LIVE ON AIR.
Ni juzi tu tulipotangaza kuwa Odinareh bingwa,msanii wa hiphop hapa
pwani anawachilia kibao kipya kwa jina NUSU SAA NA RAIS. Leo hii kibao
hicho kilichokuwa kinatambushwa live on
air kilipondwa na kukashifiwa vikali na presenta wa show ya Mashavmashav
pwani fm Gates mgenge.Presenta huyu mwenye umahiri mkuu kwenye tasnia
ya muzki wa pwani alidai kuwa wimbo huo Odinareh amechemsha kabisa na
hasa pale anaporap kuwa Senator Mike Sonko huvuta.Hayo ni maoni ya Gates
mgenge tu,je wewe yako ni yapi.
Comments
Post a Comment