NYOTA NDOGO ATAKA KUPIGA TIZI:ADAI KANONA!
Gwiji mama mlezi wa sanaa ya pwani,msanii Nyota Ndogo amefunguka na kudai kuwa anataka kwenda gym.Msanii huyo ambaye wengi wanamfahamu kwa vibao kama; watu na viatu,mambo kombo na vingine vingine vingi alinakili kwa ukurasa wake wa facebook kuwa mafuta yamezidi mwilini na wakati wa kupiga tizi kupunguza futa hilo kabla halijazidi.Kwa sasa Nyota anavuma kwa kibao BARIDI alichoshirikiana na Amoury baybie.
Comments
Post a Comment