KUTANA NA MR.KATSOPOLE MSANII CHIPUKIZI
WANAKUITAJE MAJINA KAMILI:
La serikali ni Kevin Mwarua Hassan na la usanii mr katsopole.
TUELEZEE JINSI ULIVYOANZA MUZIKI:
Mimi nimeanza kuimba toka darasala tano nikiwa kilifi primary nilipenda sana mziki wa matonya nilikuwa kila mara mimi na mziki.
MUZIKI UPI WA MSANII ULIKUVUTIA ZAIDI?
msaani niliyemuona kwamba ana sauti na nilianza kupenda mziki wake si mwengine ila chikuzee napenda niwe kama yeye.
NA JE ULIANZA LINI KUREKODI?
niliendelea hadi nami kuingia lango la kurekodi nilirekodi song yangu ya kwanza iliyoitwa neema wengi waliipenda wengine wakichukia ndipo nikajiita mr katspole nilipenda sana song zangu . TUELEZEE KUHUSU WIMBO WAKO MPYA NAMALA NIGUTE ULIVYOPATA UMAARUFU: Wimbo wangu namala nigute nilikuwa mtaani nikitembea nilikuta road show ya pilipili FM niliimba song mmoja wakasema niwape song zangu zotenashukuru Mungu kwa yote.
Comments
Post a Comment