EVE QUEEN AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA NZUMARI 2014.



Huku sanaa ya pwani ikiendelea kupamba moto na kuwa kali zaidi. Wasanii wanazidi kuchipuka na waliojuu wanazidi kupanda juu zaidi, Huku wengi wakitazamia tuzo za muziki ili juhudi zao zidhihirishwe, mwanzilishi na mkurugenzi wa NZUMARI AWARDS Eve Adhiambo aka Queen amejitokeza na kuvunja ukimya wake kuhusu tuzo za mwaka huu. Tuliwasiliana naye na alikuwa na haya ya kunena.'
"Kila kitu namuachia Mungu, nimegundua kuongea mipangilio ya kazi kabla ufanikishe uingiwa na midomo mibaya na wenye wivu, kwa sasa sitaki kuongelea Nzumari, niko busy na shooting ya Ubishoo: ya pwani tv, ila tumuombe Mungu na yote yawezekana kwa mapenzi yake........"

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA