ILINGI-SHINEY NA DAZLAH WAJIBIZANA!!



 Je pesa zinaweza kukupatia nini? Mali? Amani? Marafiki? Mapenzi? Umaarufu? Kukupeleka peponi? Au kuuona ufalme wa mbinguni? Haya ni maswali ambayo wasanii Shiney na Dazlah wanayajibu kupitia muziki. Katika wimbo mpya ILINGI ulioandaliwa ndani ya BIGFOOT PRODUCTION maswali haya yamepata majibu kutoka kwa Shiney na Dazlah,wawili hao wameshirikiana na kutueleza mambo yanayoletwa na pesa. Kupitia mtindo wa lingala wimbo ilingi ni wa kipekee na uliachiliwa rasmi jumapili iliyopita ndani ya pilipili fm.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA