SONG:MAMA WANANGU(LYRICS) ARTISTE: ZIKY WA ZIKY
jungle masters-Emmy Dee
Ona ndege walopendeza..
wako angani wanapepea..
nanyimbo nzuri wanajibiza..
ukiwa mbali unaniumiza..
meza mate mdomoni..
unionyeshe upendo maishaani..
kwani moyo wangu so jiwee..
nina hisia za upendoo..
(verse 1)
Unanini mpenzi wangu..
haya majonzi uyatoee..
hivi kwa nini ukae chini wee..
Unaonekana umunyonge..
sindo nakwiita unanuna..
tena ususoni umeuchuuna..
nieleze mpenzi wangue..
ntakubembeleza upatepona..
nnavyojua mimi ya mwenyezi..
kukupenda wee so dhaambi..
nachoitaji mimi toka kwako..
niuvumiliù na upendo maaa..
(chorus)
WANGU NI WE EEH
SINA MWINGINE ILA WEWEE.
WE NDO MAMA WA WANANGU EEH..
USINUMIZE MOYO WANGU EEH
(verse 2)
Usidanganywe na shilingii..
wenye vinyumba na vigarii..
kwani ile siku nikiwahii..
hata nawe utafurahi..
wendo mama wa wananguu..
Usiniumize moyo wangu..
kitendawili so tatizoo..
napokosa jibu nipe muji..
naufumbata moyo wangu..
usinihisi vibaya..
nipotayari kukulindaa..
ukiushiika moyo wangu..
kwani ulikua na badoo..
utazidi kua wangu..
wendo chema fungu langue..
uje uwe mamawanangue..
(chorus)
WANGU NI WE EEH
SINA MWINGINE ILA WEWEE..
WE NDO MAMA WA WANANGU EEH
USINUMIZE MOYO WANGU..
(verse 3)
Alivyosema Dogorichie..
mapenzi mumy sivyo hivyo aha..
kulaumiana tu evryday..
haileti shaangwe kabisa..
Hubaby ilove you..
Hubaby ineed you..
Hubaby baby baby baby Nakuheenza mwanziyo..
hauna sababu ya kununa..
wala sababu yaupeeke..
Kwani mupumbazi nko nawee..
sema naami mwenzio..
(chorus)
WANGU NI WE EEH
SINA MWINGINE ILA WEWEE..
WENDO MAMA WA WANANGU EEH
USINUMIZE MOYO WANGU....
Unanini mpenzi wangu..
haya majonzi uyatoee..
hivi kwa nini ukae chini wee..
Unaonekana umunyonge..
sindo nakwiita unanuna..
tena ususoni umeuchuuna..
nieleze mpenzi wangue..
ntakubembeleza upatepona..
nnavyojua mimi ya mwenyezi..
kukupenda wee so dhaambi..
nachoitaji mimi toka kwako..
niuvumiliù na upendo maaa..
(chorus)
WANGU NI WE EEH
SINA MWINGINE ILA WEWEE.
WE NDO MAMA WA WANANGU EEH..
USINUMIZE MOYO WANGU EEH
(verse 2)
Usidanganywe na shilingii..
wenye vinyumba na vigarii..
kwani ile siku nikiwahii..
hata nawe utafurahi..
wendo mama wa wananguu..
Usiniumize moyo wangu..
kitendawili so tatizoo..
napokosa jibu nipe muji..
naufumbata moyo wangu..
usinihisi vibaya..
nipotayari kukulindaa..
ukiushiika moyo wangu..
kwani ulikua na badoo..
utazidi kua wangu..
wendo chema fungu langue..
uje uwe mamawanangue..
(chorus)
WANGU NI WE EEH
SINA MWINGINE ILA WEWEE..
WE NDO MAMA WA WANANGU EEH
USINUMIZE MOYO WANGU..
(verse 3)
Alivyosema Dogorichie..
mapenzi mumy sivyo hivyo aha..
kulaumiana tu evryday..
haileti shaangwe kabisa..
Hubaby ilove you..
Hubaby ineed you..
Hubaby baby baby baby Nakuheenza mwanziyo..
hauna sababu ya kununa..
wala sababu yaupeeke..
Kwani mupumbazi nko nawee..
sema naami mwenzio..
(chorus)
WANGU NI WE EEH
SINA MWINGINE ILA WEWEE..
WENDO MAMA WA WANANGU EEH
USINUMIZE MOYO WANGU....
Comments
Post a Comment