PRODUZA TK2 NA AMZ WACHAMBULIWA KAMA NDUGU WAWILI WALIOHAMIA MJINI.....JE WEWE HUWAKUMBUKA WAZAZI WAKO WAKIWA VIJIJINI?
Ni wimbo unaoleta dhana ya kweli kabisa na Produza msanii huyu amegonga ndipo kwenye utunzi wake.Baada ya kimya kirefu,Billy Moyses Produza msanii alitudokezea kuwa alikua anaandaa kazi za wasanii wengine ila Sasa yupo tayari kuachia ujio wake mpya.Tulipata nafasi ya kuusikiza wimbo wenyewe na kweli utunzi wake umesimama vyema huku Billy Moyses akiwataja Produza Tk2 na Amz pamoja na washika dau wengine kama ndugu zake walioamia mjini na anawaeleza kunavyoendelea kijijini.
Chini ya studio ya New dawn records yuyu Huyu Billy moyses ndiye aliyeachia kibao kilochotesa sana kwa jina "MTAZAMO."
Comments
Post a Comment