BELLARY CLASSIC "LIKONI ZAWADI YENU HII HAPA.TAZAMA!!!
Muite Bellary Classic au ukipenda "mwana wa Likoni." Alipohamia jijini Nairobi alitoa hakikisho kuwa lazima ataiweka likoni kwenye map ya muziki wa Afrika Mashariki. Hivyo basi safari yake imeng'oa nanga. Tazama kitu kipya kutoka ndani ya studio za mainswitch Nairobi na video iliyoandaliwa na Johnson Kyalo...wimbo jina Ni KILA SAA. IPO hapa
Comments
Post a Comment