WASANII KIWANJA NA BELLA NDIO CREAM WA CHOCOLATE CITY MALINDI.



Leo pwani usanii tunasafiri hadi pwani kaskazini kukutana na Kiwanja pamoja na Bella.Katika tamasha la Malindi art Extravaganza,wasanii hawa walipanda jukwaani na kutoa tumbuizo moja la kukata na shoka.Katika performance za wasanii wote,wawili hawa walitifua kivumbi na kuwacha mashabiki wakiwa hoi.Vilevile fununu ni kuwa msanii Kiwanja anayefanya muziki wa hiphop ameandaa kibao kipya atakachokiwachilia hivi karibuni.Kiwanja hivi majuzi alikuwa mstari wa mbele wakati wa maandamano ya wasanii kuupinga muziki wa nje kuchezwa Kenya.Kiwanja na Bella thumbs up!!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA