DANCER AMPACHIKA MIMBA MWANAMITINDO(MODEL) NA KUVUNJA UHUSIANO WA KIMAPENZI.


Yaonekana wingu jeusi limetanda kwenye ulingo wa wanamitindo mwaka huu.Baada ya kuchapisha habari kuwa ceo Fulani wa hapa pwani kufanya mapenzi na kuwaghalai models wake,Jana meza yetu ya habari iliingia chini ya carpet na kupata uhondo kuwa model kwa jina Renee Martins Ni mja mzito.Renee Martins ambaye Ni model aliyechaguliwa kwa tuzo za pwani celebrity awards kama model of the year na kitengo cha Humanitarian award of the year ameupata uja uZito baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na jamaa flani ambaye Ni dancer wa kundi LA Mystic Dance crew.
Mwanahabari wetu alipofuatilia karibu alipata kufahamu kuwa jina la dancer huyo Ni Ian Mogere.Vilevile tuliwasiliana na Model Renee Martins ili tuhakikishe kuwa habari hii Ni ya kweli.Renee alituambia kuwa ni kweli ni mja mzito na mimba ya dancer huyo wa Mystic crew ila wametengana kama wapenzi na hana uhusiano na yeye tena.Bila kusahau yuyu Huyu Renee Martins ndiye mwenye Fanaka organisation inakuza vipaji vya sanaa.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA