KUTANA NA BOBO RIDER AKIUPELEKA MUZIKI WA DANCEHALL PWANI LEVEL ZINGINE.
Ni msanii anayetokea kusini mwa pwani kwa jina Francis ngutha almaarufu Bobo Rider.
Msanii huyu anayetokea Ukunda anafanyia kazi zake chini ya Jungle Masters na kibao kilichomuweka kwenye charti za muziki ni "holiday" iliyovuma sana kwa street mixxtape za deejay buduki na vj Chris.Bobo, aliyeanza muziki mwaka wa 2000 kwa sasa anashughulikia wimbo wake mpya.
"My current music project is a dancehall tune called party zone,whereby its video is coming soon.The video is visualized by Lil Guy-G and i'm planning to be one of the best dancehall artist in Africa,"alieleza Bobo Rider
Comments
Post a Comment