MBONA MWAWABABAIKIA WAIGIZAJI WA BONGO HIVYO?-MUSCAT MORENO AWAULIZA WAANDALIZI WA FILAMU.
Muscat Moreno,mwandalizi wa tamasha na director wa filamu vilevile amechukizwa na jambo Fulani.Mshika dau Huyu mwenye weledi mwingi kwenye tasnia ya uigizaji alifunguka haya kupitia ukurasa wake wa Facebook na kuwakashifu vikali waandalizi wa filamu hasa wa hapa pwani wanaowababaikia waigizaji wa filamu za bongo na kuwapa role za mbele kwenye filamu za Kenya. Moreno aliandika hivi...
"I have nothing against TZ, but what baffles me is the rate at which
Kenyan (Coast) producers are giving lead roles to Tanzanian Actors in
Kenyan movies and TV series. Kwani Kenya actors hakuna? We cry for 60%
local content but are we leading by example? TZ can never give a kenyan
the same opportunity in their projects, lets stop this bullshit and
appreciate our own."
Comments
Post a Comment