MASAIBU YA WASANII WA KIKE KAMA.ANAVYOYACHAMBUA PRODUZA AMMZ.
Huku wasanii wakizidi ongezeka na wa kike wakipungua kwa wingi.Mambo Fulani huwakumba na hivyo basi kupata matatizo mengi katika safari yao ya muziki.Baadhi ya matatizo Ni haya yaliyosemwa na Produza Ammz.Ammz,Produza gwiji wa SQ alipachika haya akigusia mada ya wanadada kwenye muZiki .............
"Wacha leo nikupe masaibu ya msanii wa kike.
1. Msanii mwenzake anamtaka ki mapenzi ndio wafanye collabo.
2. Producer anataka kuonjeshwa ndio aweze kumrekodi.
3. DJ na yeye pia yutaka ndio aweze kumcheza kwa club.
4. Presenter pia ana demand ndio aweze kumcheza kwa radio.
5. Event organizer pia hataki kuachwa nyuma ndio aweze kumpa show.
I say simchezo. Ukiona msanii wa kike amepita mitihani yote hio na amefaulu mpaka amekua msanii mkubwa, basi anastahili kuitwa SHUJAA."
JE UNADHANI KUNAO MAPRODUZA WANAOWANYANYASA WASANII KIMAPENZI??
Comments
Post a Comment