SIRI ZATOBOKA!!! HIVI NDIVYO BAADHI YA WASHIKA DAU WA SANAA YA PWANI WATAKAVYO SHEHEREKEKEA VALENTINES DAY!!


Ni mwezi wa mahaba na maloveydovey kemkem. Mpekuzi wetu wa umbea alipata mpenyo na kugundua baadhi ya mipango ya valentines day ya celebrities hawa wa pwani------

Hustlajay Maumau

 
"Valentine to me means nothing because i practice daily for my love to the nation to see it change i will look for a lonely heart in the street or nearby community and show them love. Don't celebrate your love on one day, but we should celebrate our lovers everyday"

Sis Shanniez

 
"Nitaspend na mafans wangu Malindi"

Benso

 
"Imagine I didn't plan anything for Valentine's"

Eve Queen Adhiambo



"Valentine is a special day that was set to celebrate love and definatly I will not be left aside on this year....on valentine's Eve, I will have an event,The Ciroc  all white party hosted by socialite Corazon Kwamboka and on valentines day my model boyfriend and I will be at shimo la tewa prison for my project helping the kids in prison and at night dinner at Whitesands hotel, then will head to Sheba Lounge to support my boyz P-unit, I wish everyone a happy valentines, let's celebrate it in style and remember the less fortunate too"

John Okoth 

 
"I want to suprise someone special and later hang out with my buddies hapo studio Malindi records."


Shembwana Masauti

 "Kiislamu ni noma but ni sawa mi valentine nitakuwa na mpenzi wangu ambaye kwa sasa sijamtambulisha but karibuni nitambulisha.Tutakuwa naye kwa nyumba tukila bata dogo bila wasi na marafiki zangu then mida usiku tutaenda night club tukamalizie huko nadhani" 

Lai LailaiTena

Til now its nt clear juu wife yangu ametravel although namtarajia hio Saturday asubuhi but kuna mambo anashuhulikia Uganda then akuje Nairobi ndio ashuke Coast so inakua ngumu kidogo kupanga kwa sasa





Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA