PAPAH ARUDI HORNET RECORDS KUDUMISHA HADHI YA STUDIO.
Papah msanii mKali ambaye ni Produza shupavu amekuja wazi na kutangaza msimamo wake kuhusiana na kazi yake ndani ya Hornet records inayomikiwa na Mamasizo.Msanii huyo baada ya kuibwaga chini studio hii sababu ya kutoelewana na wasimamizi wa studio hii inayopatikana Mtwapa.
Papah alinakili HayĆ ....."
good news to all my fans bt bad & very sad
news to all my ENEMIES. Frm mnday I'll b back
to # HORNETREC MTWAPA. If u wsh to do any
project with me 0723963096, # survivors inc."
Comments
Post a Comment