BAIYOIYO-MNS WA HALFBOUNCY AMSHIRIKISHA SUSMILA KWA WIMBO MPYA.


Ni msanii mwenye kipaji kikubwa,mwanzilishi wa kundi zima là Halfbouncy. Tunamzungumzia msanii MNS. Gwiji huyu amekuja vikali ndani ya Greenhauz production kwa ujio wake mpya kwa jina BAIYOIYO. Wimbo huo uliandaliwa na producer Noizer na msanii Susumila naye ameshikilia chorus na outro huku akitaja Mishemishe music empire. Swali ni je MNS wa half bouncy amesajiliwa na kampuni ya Susumila?Tukingojea kupata majibu tuskize wimbo baiyoiyo, kwani tayari upo mitandaoni

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA