MIC CHECK LYRICS BY CRAZY-K

(intro) A.T.L E.N.T
Yeeah.. aha aha.. Crazy on this one! …yeah!!
VERSE ONE
Me ndo maziwa nipe sumu nala nashiba na sifi,
Gafla nipewe bunduki naanza na marafiki,
Tuzo za nyumbani mshindi anapewa jirani,
Yani mziki umekua siasa ufisadi toka zamani,
Wananita kisirani sababu nawababaisha,
Yani miaka ikiongezeka ndo nazidi kua wiser,
Nafichua siri zao cheki wanaziba nyuso,
Nachozingatia ni pesa sihitaji kupewa tuzo,
Huaga simple sana, na saazengine friendly,
Lakini sina time na vitu hazinijengi,
Sihitaji story nyingi za watu hazinifai,
Ka huongei kuhusu pesa basi tuonane badae,
Ikikubamba usinyamaze we piga nduru kabisa,
Unajiita we ni mkali njoo nkupoteze kwa cipher,
Eti ntapotea skuizi nafanya commercial,
Street nasaka pesa lazima nitoke jasho,
These rappers are weak ndo mana nakuja faster,
Me nata waniogope napunch kwa kila stanza,
Nafanya kazi hua sipendi kujisifu(ok)
Minajisifu lakini so kila siku…

(CHORUS)
Mic check one two one two,
Mic check one two one two,
Mic check one two what is this?
Crazy k is back to business lets Go!!

Hii ni marathon acheni kuchoka faster,
Wanakuja wakipotea utadhani ngoma za Grandpa,
Mr promoter unachezea vipaji,
Wasanii wanalala njaa ukiongeza utambi,
New kid on the block but you heard about me,
I kill it every day all dem ladies adore me,
Okay nishafika you can go now,
Coz am the baddest in the game am the boss now,
Juu ya Mic nawamix kama Mantix,
Wanafiki wanapray kama mantis,
Wanataka me nianguke but I got this,
Mimi na mziki kama mbegu na kanyari,
Sifa za mashabiki zisiwavimbishe kichwa,
Wanahit na ngoma moja wanajiona mabingwa,
Usjiite we ni mkali kuna wenzako hatari,
Alafu silazimishi wenyewe wanakubali,
(CHORUS)
Mic check one two one two,
Mic check one two one two,
Mic check one two what is this?
Crazy k is back to business lets Go!!
VERSE 3
Outroduction, jina langu huaga scarce,
Wananiita Kabbis na sina shida ya cash,
Occupation, kalamu na karatas,
Ushanielewa, okay sasa twende kaz,
Nazaliwa natambaa najifunza kusema,
Nachafua vitambaa alafu ghafla natema,
Kwanza kabisa namshukuru maanani,
Alafu wangu mzazi aliyenileta duniani,
Niko kwenye ladder napanda na hasira sana,
Nawaka sizimi sasa na hasira ishageuka hasara,
Mziki sa ndo chanda sihitaji pete kwa sasa,
Nafanya me nachotaka kipaji change ndo imara,
Wananita Crazy k ju me ndo kick na snare,
Yani musically speaking kilyrically naongea,
Napanga mistari vina napakaza,
nachana me niache legacy miaka zaidi ya mia saba!
(CHORUS)
Mic check one two one two,
Mic check one two one two,
Mic check one two what is this?
Crazy k is back to business lets Go!!

(outro)
Ahahaa… yeah, Crazy k on this one,
Yani watu wanakamua I say…
Hawa manigahh wengine wamechoka vibaya! Yeah, ndani ya ATL E.N.T, makamuzi kama kawa! Ndo tunatoka ivi yani….

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA