"NISHAWAHI CHOMA MTU".... ...SIRI YA NYOTA NDOGO YAFICHUKA!!!!!
Kumbe msanii Nyota Ndogo ni mwenye hasira kiasi hiki? Binti huyu anayevuma kwa kibao MAPANYA alinakili kuwa ashawahi choma mtu kwa moto......cha kushangaza ni kuwa ashawahi piga picha huku ameshikilia bastola.
Je Nyota ni mkali kiasi hiki???Nyota aliandika hivi....
Nyota Ndogo
"Je unajua kwamba nyota ndogo ameshawai kumchoma mtu kwa moto? Kisa? Jamaa alilazwa hospitali wiki mbili. Kumbuka nilikua miaka kumi na tatu na nne hapo. huyu jamaa aliwai kuimba kitu flani kwa dadake., alipotoka ilikuaje? Ungependa kujua?"
Comments
Post a Comment