Alishika sana chart za muziki wa pwani na kuingia mitini. Baada ya kimya kirefu mkali wa hiphop ambaye wengi hupenda kumsifu kiupande wa commercial alirudi kimtindo na kutubwagia zigo kali kwa jina MIC-CHECK. Katika wimbo huo Crazy-K amesema wananiita kwa Cypher na bado nawashinda.....mara wanakuja wanapotea kama nyimbo za grandpa. ...Hii inadhihirisha wazi kuwa kunayealiyekuwa anamuingilia hasa kwenye sanaa ys pwani kwani pwani ndiko one hit wonders wengi.Je unadhani ni nani aliyekuwa akishambuliwa kwa diss hii?

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA