UNDEPICTED FILM AND PHOTOGRAPHY WAKALI WA KAZI SAFI ZA VIDEO.


Miaka iliyopita kazi za wasanii wa pwani hasa video zimedhalilishwa mno na watu tofauti ila wakati umefika sanaa ya pwani kupewa sifa zake.Chini ya weledi na ujuzi wake Marvin Y. Brudas video za hali ya juu zinazopendeza kwa rangi,mvuto na teknolojia ya kisasa tayari zipo mitaani,mitandaoni,madukani na kwenye runinga zetu.Gwiji huyu aliye na ujuzi mkali ndiye anaye zitengeneza kazi hizi kwa kudirect,kushoot na kuedit chini ya kampuni ya UNDEPICTED FILM AND PHOTOGRAPHY.Kampuni hii inayoenda sambamba na MALINDI RECORDS imedhihirisha uwezo wake kwenye video ya msanii Katoi wa Tabaka wimbo ukiwa "fly" akishirikiana na msanii Petra the rap queen.Tulipowasiliana na manager wa Undepicted film and photography alitueleza Kuwa huyu ndio mwanzo wa kazi tu na Watu watarajie. Makubwa zaidi kwa filamu,video na picha

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA