Posts

Showing posts from November, 2014

PWANI USANII AWARDS: WASHIKA DAU WA PWANI WALIOFANYA VYEMA 2014.

Image
Tangu tuanze kuangazia sanaa ya pwani mwaka huu,hawa ndio washika dau wa sanaa ya pwani waliofanya vyema zaidi. Hii ni kulingana na uchunguzi wetu tulioufanya kama waandishi wa sanaa ya pwani kwenye mitando. Nao ni kama wafuatavyo:-  1.BEST MALE ARTISTE: KIGOTO MMBONDE 2.BEST FEMALE ARTISTE: JOVIAL 3.BEST RECORDING STUDIO OF THE YEAR: JUNGLE MASTERS 4.BEST AUDIO PRODUCER OF THE YEAR: TK 2   5.BEST VIDEO PRODUCER OF THE YEAR HAMZA OMAR-ONE POINT ONE MONTAGE   6.BEST ACTOR/ACTRESS JUMA SHIBE(MJ WA ALMASI) 7.FEMALE RADIO PRESENTER OF THE YEAR SISTA SHANIZ   8.MALE RADIO PRESENTER OF THE YEAR ARNOLD MUNGA   9.HIPHOP ARTISTE OF THE YEAR KAA LA MOTO KIUMBE   10.UPCOMING ARTISTE OF THE YEAR HARSH B   11.BEST DJ OF THE YEAR VDJ IVORY   12.BEST SONG OF THE YEAR NGOMA ITAMBAE - SUSUMILA ft CHIKUZEE 13.BEST MUSIC VIDEO OF THE YEAR I DO-BENSO ft MISS GG   14.BEST COLLABORATION OF THE...

A MESSAGE OF PEACE,HOPE AND RÉSTORATION FROM LIKONI PUPILS.

Image
As the Kenya music festivals came to a conclusion late last term,a masterpiece verse touched the hearts of many Kenyans. Performed by Timbwani Baptist primary school from Likoni, the verse titled KENYA TUNALIA brings forward a theme affecting many Kenyans especially from their home area Likoni. Although many verses performed at the festival brought forward current affairs which were educative enchanting and entertaining, the one from Timbwani Baptist Likoni primary school stood out. Hailing from a place where terrorism and violence stroke. four pupils assisted by their music club patron and teacher Mr Godwin Wambua decided to perform a Swahili verse to advocate for peace, hope and restoration. Written and directed by Wambua, the verse brought out clearly the bitter cry of Likoni kids praying for peace."Nani asiyetamani amani jamani, mpeketoni likoni Kenya tunalia si" quoting from one of the verse's lines."Likoni is one of the affected areas when it comes to t...

RAMOO LAVICHUNARE ASEMA:Bora nile mali yangu pole pole kuliko kulipwa show ya elfu tano ama kumi.

Image
Tulipata kumhoji Ramoo wa kikosi cha Lavichunare waliotamba kwa vibao; mwalimu wa kemia,polepole na vinginevyo na alikuwa na haya ya kunena kuhusu maisha yake binafsi: PWANI USANII:KANDO NA KUWA MWANAMUZIKI,UNAJIHUSISHA NA NINI? Ramoo Lavichunare Lavi: kando na kuwa mwanamziki Mombasa i'm a real G.S.U in Kenyan forces and still apart from been a G.S.U still I got ma own bussines. PWANI USANII:TUELZEE KUHUSU HIO BIASHARA YAKO. Ramoo:Nina matatu ya route ya Tudor-Ferry.I have more than 4 tuk tuks nyuma zikiwa zimeandikwa Lavichunare. PWANI USANII:UNA MPENZI,MCHUMBA AU MKE? Ramoo:I'm a blessed married man. PWANI USANII:TUELEZEE JINSI WEWE BINAFSI UNAVYOUONA MUZIKI WA PWANI KWA SASA. Ramoo:Bora nile mali yangu pole pole kuliko kulipwa show ya 5k ama 10k .Ndio maana sipapatiki si kiawards wala kishow.sikufichi mimi naudharau mziki wa coast maana viongozi wetu duni sana.

MSANII/PRODUCER LAI AFANYA KIOJA KIKUBWA BAADA YA TIMU YAKE ARSENAL KUFUNGWA.

Image
Je mnakumbuka wimbo kwa jina VIJITABIA VYA LAI?? Wimbo huu uliovuma miaka miwili iliyopita ulikuwa watafsiri yatakayojiri juzi kati ya mchuano wa Manchester united na Arsenal.Lai alifanya kioja ambacho wengi wetu tunaweza sema ni cha kipumbavu.Kitendo tunachoweza kukiita hasira hasara.Mdakuzi wetu alituarifu ya kuwa msanii huyo anayetamba kwa kibao Tiririka na ambaye ni shabiki sugu wa timu ya Arsenal baada ya kujipiga kifua,kuandika kwa mitandao na hata kubet mihela mirefu na mashabiki na hata msanii mwenzake Bocar Jay kuwa timu yake ingeshinda. Hasara kubwa ilimpata baada ya team yake kulimwa mabao,KIOJA kilizuka pale mchezaji Wayne Rooney aliTIRIRISHA bao la pili dakika za mwisho ndipo msanii huyo Lai alisimama kwa hasira na kuinyakua tv iliyokuwa ukutani na kuibwaga hadi kuvunjika bila kujali stima.Washikaji zake aliowaalika kwake ilibidi wajipange kwenda kumalizia game hio bandani

MSANII WYNAS YULE WA PLAYBOUY ANA MAPYA!

Image
Ni dogo anayekuja kwa kasi mno na tunaweza sema anawapa wanamuziki wengine 'sleepless nights' kwa ujuzi wake wa vokali kali na kutamba na mdundo vizuri.Wynas chini ya mbawa zake produza Tee leo hii anawachilia kibao kipya kwa jina Tujirushe. Tulipomuuliza kwanini raundi hii ameamua kutofanya muziki wa mahaba.Wynas alikuwa na haya ya kusema,"Nimerekodi nyimbo nyingi sana za mapenzi ndio producer wangu Tee akanambia nijaribu kufanya style tofauti kidogo ili niweze kuridhisha mashabiki wa kila aina ya muziki." Wakati wa kujirusha umefika,tegeeni ujio mpya wa Playbouy Wynas.

MSANII/PRODUCER LAI AFANYA KIOJA KIKUBWA BAADA YA TIMU YAKE ARSENAL KUFUNGWA.

Image
Je mnakumbuka wimbo kwa jina VIJITABIA VYA LAI?? Wimbo huu uliovuma miaka miwili iliyopita ulikuwa watafsiri yatakayojiri juzi kati ya mchuano wa Manchester united na Arsenal.Lai alifanya kioja ambacho wengi wetu tunaweza sema ni cha kipumbavu.Kitendo tunachoweza kukiita hasira hasara. Mdakuzi wetu alituarifu ya kuwa msanii huyo anayetamba kwa kibao Tiririka na ambaye ni shabiki sugu wa timu ya Arsenal baada ya kujipiga kifua,kuandika kwa mitandao na hata kubet mihela mirefu na mashabiki na hata msanii mwenzake Bocar Jay kuwa timu yake ingeshinda.Hasara kubwa ilimpata baada ya team yake kulimwa mabao,KIOJA kilizuka pale mchezaji Wayne Rooney aliTIRIRISHA bao la pili dakika za mwisho ndipo msanii huyo Lai alisimama kwa hasira na kuinyakua tv iliyokuwa ukutani na kuibwaga hadi kuvunjika bila kujali stima.Washikaji zake aliowaalika kwake ilibidi wajipange kwenda kumalizia game hio bandani.

VOTE FOR SPICE MAGAZINE:

Image
WAKATI WA KURUDISHA SHUKRANI UMEFIKA.BAADA YA MAGAZINE YA SPICE KUCHUKUA JUKUMU LA KUANGAZIA SANAA YA PWANI,WAKATI UMEFIKA KUWAPA SHUKRANI ZETU. SMS AH2 to 21001 ILI TUWEZE KUWAPIGIA KURA SPICE MAGAZINE KWENYE BINGWA AWARDS KWA KUWA MAGAZINE YA PEKEE ILIYOAMUA KUANGAZIA SANAA YA PWANI. SMS AH2 KWA NAMBARI 21001.

DOGO RICHY: sitaki kuwekwa kwa awards zozote ambazo hazina hela!!

Image
Kila uchao wasanii wanaamka na mapya, hasa tukija pande za awards. Ni wasanii kadhaa hapa pwani ambao wameamua kutupilia mbali tuzo zinazo wazawadi wasanii vinyago pekee. Baadhi ya wasanii ambao washawahi tupilia mbali uteuzi wa kupewa vinyago ni Susumila, Dazlah, Kidi­s, Nyota Ndogo, producer Tee na wengine tu wengi. Leo hii sanaa ya kutochukua vinyago imepata mgeni mpya kwa jina Dogo Richy. Richy ri kama wamuitavyo wengi ametulipilia mbali uteuzi wowote ambao utakua bila hela. Msanii huyu bingwa wa miondoko wa maloveydovey aliyetamba kwa vibao kama sijasahau,naona raha,sina raha na vinginevyo vilevile alimsifu sana poroducer wake Emmy Dee ambaye amemlea kimuziki. Kwanini tuandike mate ilhali wino upo? Soma alichonakili hapa......?.. "ilikuwa vigumu kuingia studio kama underground lakini mi naona tofauti na EMMY D juu most of the time vipaji vipya hutokana na mkono wake. mimi nikiwa mmoja wao, so kama ni tuzo, tuzo bora huenda kwa yule producer ambaye amebad...

DRULLIX MTP SHARES OUT FIVE SECRETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT HIM:

Image
Welcome to mtopanga and meet hiphop heavyweight Drulixx Mtp.Today Drullix will be sharing five little secrets you dont know about him. LIGHTS........! CAMERA......! ACTION.....................!!!!!!! Drullix:1.I'm good in chess. 2.Was once in a rap trio called Kruxx. 3.I have a president's award - (gold certificate) I actually received it from kibaki. 4.I love Jazz music a lot. 5. I'm a bad dancer. There you have it,he just let the cat out of the bag!!

KUMBE MSANII AMILEENA MJA MZITO???

Image
Msanii anayetokea pande za Diani ila hufanya muziki wake Nairobi sio mwingine bali Amileena yule yule aliyeimba NAONA BADO akishirikiana na Sudiboy ni mja mzito. Binti huyo baada ya kuimba NAONA BADO imebidi ageuze usemi kuwa NAONA BOLI! Amileena mchumba wake akiwa Calvo Mistari twawatakia kila la heri.

MISS TOURISM MOMBASA YASHINDWA KULIPIA MAVAZI YA WAREMBO

Image
Tamasha kubwa ya Miss Tourism Mombasa ambayo ilifanyika siku ya jumamosi usiku ndani ya Wild waters ilipatwa na changamoto la aibu pale waandalizi waliposhindwa kulipia costume ambazo Warembo walifaa wajishebedue nazo kwenye jukwaa katika kitengo cha mlo wa jioni. Warembo hao walilazimika kutumia nguo zao tofauti tofauti kwenye jukwaa manake hawakua na budi. Yadaiwa mshonaji mashuhuri wa nguo hizo ambaye ni mchumba wa msanii King Sting alidinda kupeana nguo hizo manake alikua hajalipwa lolote na wala hakutaka kusikia hadithi eti atalipwa hela baada ya show. Hali hio ya ukosefu wa hela yadaiwa ilichangiwa pakubwa na kutojihusisha kwa serikali ya kaunti ya Mombasa katika tamasha hio. Hakuna mwakilishi yeyote kutoka katika serikali ya Kaunti ya Mombasa ambaye alihudhuria. Wageni mashuhuri waliohudhuria ni mbunge wa Nyali Hezron Awiti na Mwenyekiti wa Bandari ya Mombasa bwana Danson Mungatana.  Story and picture Courtesy of Backstreet Entatainment

SOKORO BADO YUPO NA AMESHIRIKIANA NA RABBIT KWENYE WIMBO MPYA!!

Image
Mara ya mwisho kumsikia hewani ni enzi za Tabasamu records akiwa kwenye wingu la umaarifu wa sanaa Afrika mashariki. Baada ya kimya kilichozua maswali mengi yaliyojiri ni gwiji wa hiphop Mombasani Sokoro yupo Rehab ya madawa ya kulevya kihali maututi. Baada ya kupitia kwenye mikono ya matibabu ya rehab Sokoro alirudi tena na kusikika hewani kwenye show tifauti za muziki hasa ile ya Mashavmashav pwani fm. Juzi alikuwa na show maeneo ya Likoni, Jetbar resort. Leo hii tumewasiliana na Sokoro ili kumjulia hali na mipango yake kwenye ulingo wa sanaa. Sokoro alitueleza hivi....... "Nashukuru sana mashabiki wangu sugu wale wamekua nami tangu enzi ningependa wajue niko bora kiafya." Kuhusiana na hali ya muziki wake Sokoro alitueleza hivi.......... "Nimefanya ngoma mpya Nairobi na RABBIT,BLACK JESUS,SINGER AFRICANA and my new music video WANAULIZA ULIZA is in the pipeline coming soon, it's COAST HIPHOP forever." Kwa mashabiki wa hiphop na wa Sokoro ms...

PRESENTA ASINYA WASIKILIZAJI KWA PROMO ZAKE ZA KUUZA T.SHIRT LIVE ON AIR!!!

Image
Huku show za redio zikiendelea kupamba moto kila uchao kwa kutifuana kivumbi kwa ustadi wao wa sampuli za muziki,matangazo na interviews motomoto. Eneo la pwani halijaachwa nyuma kwani show zao zina ushindani mkuu hasa zile zinazocheza muziki wa kizazi kipya. Hii imeleta hisia tofauti na maoni ya mashabiki wa tasnia ya muziki wa pwani. Shabiki mmoja alionekana kugadhabishwa na presenta fulani mwenye tabia ya kufanya biashara ya kuuza t.shirt live on air. Presenta huyo mwenye umahiri mkuu hapa pwani yasemekana ana majivuno sana na badala ya kuwapa wasanii promo ya kuuza cd zao anafanya biashara zake binafsi. Tukibana jina lake,bingwa huyo ana tabia ya kutembea tembea na kuwabeba wasanii kwa kila show anayoalikwa na kupanda jukwaani nao. Shabiki huyo alisema hivi............"Fanya promo mashabiki wanunue CD za wasanii usifanye promo watu wanunue ma t-shirt.................." Ujumbe ndio huo

MSANII WA LIKONI APEWA KICHAPO CHA MBWA KWA KUIBA!!!

Image
Ni msanii anayetokea papa hapa Likoni na alirekodi muziki wake ndani ya Flash records. Msanii huyo anayejulikana na wengi kama MZEE MKALI alipewa mob justice na watu baada ya kutoweka na mali za wenyewe(hatukuambiwa ni nini ila yashukiwa ni simu). Aliyewasiliana nasi alituarifu kuwa msanii huyo ambaye wengi walimsifu kwa kipaji chake alipatwa maeneo ya kona ya zamani na umati ukamvamia na kumshambulia vikali.Japokuwa alivuja na kutiririka damu,watu waliendelea kumuadhibu vilivyo. Gwiji huyo alikuwa ameoa maeneo ya Mtongwe na alijifanya sharobaro sana hata kutungiwa jina LOVERBOY. Yasemekana kuwa msanii huyo alijiingiza kwenye utumizi wa mihadarati,uvutaji bangi,mugooka bila kusahau ugoro na uraibu mwingine. Je washika dau wa pwani,hapo ndipo usanii wa pwani utatufikisha????

MEET FORTUNE: SPREADING THE WORD OF GOD THROUGH EMCEEING.

Image
PWANI USANII:Mc Fortune whats your real name? MC Fortune:My real Name is Richard Wambua, my stage name is Mc fortune . PWANI USANII:How old are you? Mc Fortune:I'm 23. PWANI USANII:Tell us your experience as an emcee. Mc Fortune:I have done emceeing in gospel gigs and parties from 2011, started it in machakos before I came to Mombasa 2012. PWANI USANII:Apart from emceeing,what else do you do? Mc Fortune:I run an event and entertainment company called Miami Events. PWANI USANII:What are your long term and short term goals?   Mc Fortune:My long and short term goal is to help nature talents in coast region.I also run a page called SIGN UP 4 CHRIST in fb

PRODUCER MSANII LAI ATIRIRIKA HUKU AKIMSHIRIKISHA KIDIS KWENYE UJIO MPYA!!!

Image
Huku akiwa bado wimbo wake special alioutoa mwezi wa Septemba umekita na kushikilia chati za muziki wa pwani,msanii ambaye vilevile ni producer gwiji tokea Kilifi amerudi tena kuangusha ujio mpya kabisa. Raundi hii Lai amemshirikisha msanii Kidis the Jembe. Tuliwasiliana na LaiLai na akatueleza hivi kuhusiana na wimbo wake mpya. "Track mpya nimefanya na Kidis inaitwa Tiririka nimeachilia on sunday, yenyewe najua tayari nina trck nilifanya na chikuzee ambayo tayari inafanya vyema na kushikilia number 1 katika chart kadhaa za mziki lakini nimeamua kuachilia Tiririka pia kama njia ya kupata mauzo,downloads na shows zangu." Tulimuuliza Lai kuhusiana na tabia yake ya kufanya collabo kila mara na alitueleza hivi............."Kuhusu kufanya collabo mingi,yes kwangu mimi collabo or no collabo,kile najali zaidi ni mashabiki wamepata Mziki mzuri tu na hio nimeidhihirisha katika Tiririka....." Tegea pwani usanii upate kutiririka zaidi.

KUMBE HAWA NDIO WASANII WA PWANI WANAOJULIKANA NAIROBI........HAO WENGINE KAZI BURE!

Image
Katika pitapita zangu kwenye mitandao na tovuti tofauti hasa za sanaa,nilipata kupitia article moja ya blog ya Nairobi inayosifika. Nilishangaa kuona wameandika article ya wasanii wa pwani wanaowajua au wanaojulikana Nairobi.Huku tukiwasifu kina Kaa la Moto,Fat-S,Dazlah,Rojo-Mo,Totti,Dogo Richy,Lypso,Escobar,Chapatizo na wengine wengi kuwa mabingwa wa pwani..........ukweli ni kuwa hawajulikani. Ila hawa pekee ndio wanaosifika na hivi ndivyo walivyosifiwa:- Top Kenya Coast Musicians Mombasa has been on the news lately for all the wrong reasons. Bestiality and child pornography perpetrated by foreigners, high rate of school dropouts, polyandry and witchcraft are just some of the ills that bedevil this county. That aside, the scandal ravaged coastal city of Mombasa has also its good side. The beautiful beaches attract tourists like moths to a flame. Tourism is the largest foreign exchange source after agriculture. The showbiz industry is also alive with the likes of ...