SIO YULE BY SULTAN WA PWANI ft CHIKUZEE
INTRO CHORUS Aha Si yo yo Sio yuleee..eh(sio yule) Aha Sio yo yo Sio yulee..eh(sio yule) Mwanamme gani hata pesa anapatiwa Mwanamme gani hata nguo anavishwa Mwanamme gani hata za nyumba anatumiwa Aha Si yo yo Sio yuleee..eh (Nasema sio yule dada) Aha Sio yo yo Sio yulee..eh (Jichunge nae yule dada) VERSE 1: CHIKUZEE Wala usiwahi kua na pupa ya mapenzi, hilo mimi nshakwambia, Na utakuja kujuta ile kishenzi, hapo ulipo nshapitia, Usishoboke nae katu …. Uhhh, Wasubiri wengi waja ……. Ahhh, Uhh wale washachapwa chapwa chapwa chapwa wangapi, hata wewe unajitia, Uhh aibu yako aibu yangu, mi mwenzio nakuhurumia, Huu mwiba unaojichoma wewe hata mimi unaniingia, CHORUS Aha Si yo yo, Sio yuleee..eh (sio yule) Aha Sio yo yo, Sio yulee..eh (sio yule) Mwanamme gani hata pesa anapatiwa Mwanamme gani hata nguo anavishwa Mwanamme gani hata za nyumba anatumiwa Aha Si...