X-MATHARE WAWAENZI ELANI,MUTHONI THE DRUMMER QUEEN NA OLAMIDE

X-mathare kikosi ambacho kimeteka muziki wa pwani na kuenea anga za Kenya nzima kwa jumla, tunazungumzia Kevobitts,Ohzy,Mtu tabia na Psycho.Wanne hao waliotoa vibao NIMERYK,KUCHEKUCHELE na hivi majuzi BEMBELEZA wamekuja wazi na kutaja baadhi ya wasanii ambao wangelipenda kufanya kazi nao.


Tulipowasiliana nao walikuwa na haya ya kusema......."at the moment Elani music is doing great, but we would like a collaboration with Muthoni the Drama Queen aka DQ ... we would also like to work with an artiste from West Africa like Olamide from Nigeria......" X-mathare wapo chini ya studio za THUNDERSOUND RECORDS chini ya producer na meneja Morbiz.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA