THE BLACK CITY MIXXTAPE LAUNCH:CLUB YELLOW RIBBON

Wasanii shupavu wa hiphop hapa pwani watakuja pamoja kulaunch mixxtape ya Msanii Dizasta.Tamasha hilo linahappen 4th april at club yellow ribbon. Entry ni free, mixtape itauzwa kwa 150 shillings. Event dj ni dj cos na madj wengine pia watakuwepo. Kutakuwa na proffesional photography, event yenyewe iko organised by Ultimate Hiphop Experience (UHE) .Watakao perfom ni wasanii wa hiphop kama, Kaa la moto, Mohjay Graphics, Mnywaji, Risto, Drullix, Petrooz, Ohms Law, Kassamoney,Ordin­nareh,Viddette, Frank­west...
 Event inaanza saa tatu usiku hadi chee




Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA