WANAWAKE WA MJINI VOI WAONGOZWA NA NYOTA NDOGO KUANDAMANA KUMKASHIFU MUSTAPHA

Baada ya kukuru kakara za mapenzi ya msanii Mustapha na binti Huddah Monroe kupamba moto hivi majuzi,wanawake wakiongozwa na msanii gwiji wa hapa pwani Nyota Ndogo waliandamana wikendi iliyopita jijini Voi wakimkashifu Mustapha kwa kuwadharau na kuwashusha hadhi wanawake.

Mustapha anayevuma kwa video yake mpya ya 'lenga stress' yasemekana aliomba msamaha. Nyota Ndogo alikuja wazi kupitia stesheni fulani ya redio hapa pwani na kusema kiini cha kuwa mstari wa mbele kumkosoa Mustapha kwa matendo potovu anayofanya.


Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA