Wiki hii Katika Kumi kali za Radio Kaya, wasanii  ESCOBAR & SHABIG  na wimbo wao KUBALI MATOKEO bado wako juu.

Chart ya this week imekuwa noma sana with competition rising for the top spot. Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa:

1. ESCOBAR & SHABIG – KUBALI MATOKEO 
2. HASCO & MOODY T – PINGU ZA MAISHA 
3. SUDIBOY & KALICHA – SHOBOKA 
4. MADDY MSWAZI – NIMEAMUA 
5. HARSH B – MPENZI BURUDANI
6. 22 – NIKIKUONA UMENUNA 
7. ALLY B – UNAWEZA CHEZA 
8. SHEPHERD & KEN S – MTOTO MZUKA
9. SUDI MANJEWINE – POTELEA MBALI 
10. MASTER HORROR & LAI –HAPA NDIO KWAO

Jiunge nao Siz Shanniez na Ras Ruth Jumamosi hii ujue nani atakuwa top kwenye Kali Kumi za  Radio Kaya


Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA