Jamii Tofauti watoa ngoma mpya


JAMII TOFAUTI MUZIKI TOFAUTI// NI KUNDI LA WASANÍI WALIOKUJA PAMOJA KUUNDA KIKOSI CHA KUFUNDISHA JAMII KUPITIA MUZIKI WA HIPHOP;NAZUNGUMZIA #JAMII_TOFAUTI.KUNDI HILO LINALOFANYA MUZIKI WA HIPHOP RAUNDI HII LIMEBADILI STYLE NA KUWACHIA KIBAO KWA MTINDO WA DANCEHALL.TULIJARIBU KUWASILIANA NA MMOJA WA KUNDI HILO NA HIVI NDIVYO ALIVYOTUELEZA,,,"kuna ngoma mpya tumetoa yaitwa "step" tumefanya na "bluemoon riddim" kelele records(teknix producer) sisi ni hip hop lakini tume change kidogo kwa sababu ya mafans wetu waliitisha ngoma ya party na ndiyo hii tumewapatia 2014,,,," TEGEENI WIMBO #STEP BLUEMOON RIDDIM TOKA KELELE RECORDZ MUZIKI WA JAMII TOFAUTI.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA