PRODUZA MWENYE UMRI MDOGO PWANI// Petrooz ni produza wa muziki anayetokea papa hapa jijini Mombasa.Gwiji huyu mwenye umri wa miaka kumi na tisa alianza kuandaa muziki tangu alipokuwa shule ya upili.Petrooz aliunda beat na kuziuza huku akirekodi muziki na kujilipia karo ya shule.Kwa sasa yupo na track mpya aliyowaandalia Hustla jay na Fikra teule inakuja hivi karibuni.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA