BK MYAHUDI AMSHIRIKISHA KALICHA

Bk Myahudi ni rapper anayepitisha ujumbe kwa jamii kupitia muziki wa ukweli,unaongelea mambo yanayoikumba jamii ya kiafrika.Rapper huyu ambaye mada zake sanasana huwa za ukoloni mambo leo,njaa na janga la ukimwi amechipuka tena na kuvunja kimya chake cha muda mrefu.Tulipomhoji,Myahudi alitudokezea hivi......"mi nafanya concious music .Muziki wangu niwa ujumbe unaohusu jamii.
Hii ya sasa ni love song,ngoma kwa jina yaitwa KIMWARI.Nimeifanya SQ records, na nimemshirikisha KALICHA .Track yangu ya kwanza iliitwa DHIKI ZA MAISHA ambayo nilifanya na Kalicha pia.Na ya pili ilikuwa DINI BIASHARA ambayo nilifanya na Dogo Richie....." Wimbo 'Kimwari' uliachiliwa wiki moja iliyopita na tayari mashabiki wameanza kuupenda.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!