Ali Mohammed ni mmoja wama actor ambaye amefanya kazi mbalimbali na makampuni za nchi za nje.Vilevile ni model ambaye ameshinda mataji mengi sana kama Mr Mombasa na nyenginezo.
Kwa sasa anashughulia filamu mjini malindi city ambayo itagaramika maelfu ya pesa, akiongozwa na Executive producer Ali Gereza Mgambo wa Kabaka filmworks.Tegea uhondo... 
courtesy of Malindi Superstars
 

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA