WIMBO MPYA WA KASSAMONEY AKIWASHIRIKISHA ELSIE NA Q-RAPS

Msanii wa hiphop Kassamoney aliyetoa wimbo 'my way' na kushirikishwa kwa vibao vingi vya hiphop ndani ya kelele records, amerudi tena. 
Msanii huyu anayetamba vyema kwenye midundo ya produza Teknixx raundi hii amewashirikisha binti Elsie na gwiji wa hiphop Q-raps kwa wimbo 'hiphop thugs day'.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA