WATALII MUSIC FAMILY: MALINDI LAZIMA KIELEWEKE!!!!


Huku Chocolate City Malindi wakizidi kujigamba kwa ukwasi wa hiphop, kikosi cha Watalii Music Family kikiongozwa na Makushabu kimejipa jukumu la kuupeleka muziki wa Malindi ulimwengu mzima.



Tetesi zinazojiri ni kuwa kikosi hiki kimeungana na kundi moja la wasanii wa Nairobi wanaojulikana kama Maafleva Music.

 Hivyo basi, kipenga cha sanaa tayari kishapulizwa na Watalii Music ishang'oa nanga.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA