LIL GUY G USITUDANGANYE!!! AKOTHEE NI WHACK ARTISTE- RAPPER KASSAMONEY AFOKA!!!!
Ajulikana kama Kassamoney Brian rapper anayependa kuweka ukweli wake hadharani bila uoga. Jamaa huyu ambaye ni mkuu wa kikosi cha Coastside militia alimuingilia video producer LilGuy G alipodai kuwa Akothee huenda akawa best female African artiste. Tukinukuu maneno aliyopachika kwenye account yake ya facebook.
"Lil Guy G' Ukisema Akothee Might be the best Female Artist in Africa cuz of the hardwork she puts in her music then you have to know
You are simply saying Papa Dennis Might be the Best Male Gospel Artist In Africa ..
-Hard Whack indeed"
Hivi mwakubaliana naye kweli????
Comments
Post a Comment