SOURCE LYRICS BY DULLY MELODY
CHORUS
oooh my babiee eeeeeeaaah,your the source of my of my success.
oooh my babiee eeeah your the source of my happiness.
unipende mimi usipende waleeee unipende mimi mamaaa×2
VERSE 1
uzuri wako ndo unanifanya mimi nijidaiii,hata wapambe wanatamani melody i gonna dieee.."nipo safarini subiria natafuta vumilia×2
oooh nikikosa kazini hata njiani napata,hata nikifumba macho nikipapasa napata×2,I give u love,you give me love my babiee oooh hooa×2,yu give me love i give u love my babiie ooowaa,yu give love i give love my wife to be maamaaaa×2
CHORUS
Ooh my babiee eeah your the source of my success,ooh my babie eeeah your the source of my happiness,unipende mimi usipende waleeh,unipende mimi mamaa×2
VERSE 2
unanijaliii ninakujali mamaaa,"kwa kila hali ntakutunza nanitakupenda saanaa,kwa kila hali ntakutunza mamaa nanitakupenda saanaaa.
nilipokosa ngarawa ulinipenda mamaa,sasa narudi na dawa utaridhika babiee×2.
CHORUS
ooh my babiee eeaah your the source of my succes,ooh my babiee eaah your the source of my happiness,unipende mimi usipende walee "unipende mimi mamaa×2
VERSE 3
kila siku naridhika kwako naongeza kamwili mi,kila siku naridhia kwako tu."
tena sitaki vionjo nataka unipe manjonjo×2,nipe manjonjo nipe manjonjo usinipe vionjooo×4
OUTRO
D.melody heeee!beat commander haaah noor mwamba heeeh!karrieey hans weeh hans mahmoud kaka yeee.hekkoh!
Comments
Post a Comment