TABIA YA KUCHUNGULIANA NYETI YASHUHUDIWA WAKATI WA VIDEO YA 'GOODMORNING' YA MSANII BABU DEE MAPETE!!!!


Sijui huwa swaga ama ndio style za wasanii wakati wanatumbuiza. Jana kwenye club ya Valencia inn, msanii Babu dee Mapete aliyekuwa yuatambulisha video ya wimbo wake wa 'good morning' alifanya masihara ya kushangaza kama muyaonayo kwenye picha.

Tabia hii ya kudon'goa na kuchunguliwa hupendwa sana na wasanii ila tukiweka hayo kando...jitazamie video ya 'goodmorning' kwenye mtandao wa YouTube na hivi karibuni mtaipata kwenye runinga zenu.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA