KINGMONDE AKA DAZLAH KIDUCHE AWACHIA KICHUPA KIPYA!!!!

Baada ya kutoa vibao motomoto hivi majuzi kama Bangereba, Kidekide, Cheza Kidogo na Iyo, Dazlah Kiduche ukipenda Chilemonde ameachia video mpya.

Wimbo huo kwa jina Nitalia umeandaliwa na Produza Tee ambaye amemshikilia Dazlah tangu kinda. Msanii huyu vilevile amekuwa kwenye tour za nchi za nje kama vile Madagascar na Dubai.
Hivyo basi tusitumie mate ilhali wino upo, jitazamie mwenyewe video hiyo iliyoandaliwa na PichaMoja production.



Tukitumia maneno ya Dazlah mwenyewe, hii hapa video------------------Nitalia Video is Now Out!!! Wapenzi wa Muziki wangu Click the link... Watch, Comment and Share the Link All over The world.. Please need your Support Please... I love you All
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
https://youtu.be/MTpV5yLIXVQ

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA