Eddy Ticha ATAMBULISHA VIDEO YAKE MPYA.
Alikua kwa kikosi cha wasanii kwa jina Watash. Si mwingine bali Eddy Ticha. Jamaa huyu kwa sasa ameachia video yake mpya inayojulikana kama Zawadi. Wimbo huo ulitayarishwa na Morbiz Sheriff wa Thundersound records na video iliandaliwa na Link junior.
Itazame kwa mara ya kwanza hapa------>>>>>https://youtu.be/uno9Q2OnDuI
Comments
Post a Comment