NYOTA NDOGO AKARIBISHWA KWA SHANGWE NA MBWEMBWE NA WASHIKA DAU WA SANAA YA PWANI. (Tazama Picha)


Baada ya kuzuru Denmark kwa show za muziki, mama wa sanaa ya pwani Nyota Ndogo alikaribishwa kwa mbwembwe kibao na shangwe nyingi alipotua tu kutoka Denmark. Tamasha hilo dogo lilifanyika mkahawa wa Dan's Lounge na washika dau wa sanaa kama DJ Elon, Gates, Susumila, Hassan Feisal, Producer Khalid na wengineo walifika kumlaki Nyota.
"Thanks kwa kila mtu aliejitokeza kwenye show hii ilioandaliwa kwaajili ya makaribisho ya nyumbani.@hassan falsal mufti @ Hawkings Kidiavai Pday Hurrikane Kenya Sis P Queen susumila yusuf @jay crack @priducer khalid yani nikisema nitawaja wote sitamaliza.ila shukran sana yani sikuamini kabisa kulivyo jaa wasanii wote muliokuja tupo pamoja.@Eric mmu ahsante kwa maandalizi haya". Alisema Nyota.
Tazama picha



Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA