TENDA WEMA UENDE ZAKO


Dully melody ajipata kwenye wakati mgumu baada ya kusaidia msanii chipukizi wa jiji la Nairobi ambaye anajulikana kama STEADY J.
msanii huyo steady j ambaye Dully alimsaidia kwa kumuhifadhi na malazi na mavazi, tu baada ya msanii huyo aliyeshindwa na hela za malipo ya studio Dully Melody aliamua kumwambie arudi kwao Nairobi kwa sababu lengo lake lilikuwa limebuma la kufanya collabo na Dully Melody.
Msanii huyo ambaye kwa sasa anatumia nyimbo za Dully Melody akisema ni za kwake hata kwa mdundo nyimbo hizo ameweka kwa mdundo account yake.
kwa sasa Dully Melody yupo kwenye mikakati ya kumwambia azitoe kwa mdundo account yake, lakini msanii huyo Steady J amesusia kuzitioa na pia kuna nyimbo mpya ambayo anapanga kurecord ambayo ni ya Dully melody.
Melody anaomba msaada kwa mashabiki kumsaidia kutatua hio shida

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA