JE DULLY MELODY AKAFANYWA NINI??
Baada ya dully melody kupost kwa wall yake"HAKI HII SIKUTARAJIA KUTOKA KWAKO MY BRO..IPO SIKU TU..NDO KUKOMAA" watu wa karbu walijawa na ghadhabu kujiuliza kuna lipi linaendelea ama limemkumba msanii huyo.Ikatulazimu kumtafuta Dully melody kujua kipi kina kula mwengine?
Ijapo Dully melody hakutaka swala hili kusema ila kwa kumrai alitudokezea..na haya ndio aliyosema.
"Mimi kama dully melody nko na mshauri wangu wa karibu ambae ni kama kaka yangu.swala alilofanya bado sijawai tarajia kutoka kwake..hii ni baada tu yakunipia simu kwamba kuna show ambayo ilikua jumamosi 13/2/2016,show hio ilikua ni ya malipo ambayo ilikua kama show yangu ya kwanza kulipwa tangu kuanza mziki..basi ndugu yangu siku ilipofika ilibidi kuuliza malipo kama alipewa ama bado kaka yangu HANS MAHMOUD alisema amelipwa nilipotaka kujua ni kiwango gani alisema twende tutaongea mbele mbele,tulipofika mazeras kuelekea kaloleni ambako show hio ingefanyka nilitaka anipe hizo pesa japo 1000 kununua kinywaji..katika mahojiano naye basi alinipiga kofi mbele za watu swala lililoleta ngumi na kufanya watu kutetea.ili nilazimu nirudi likoni nikiwa na jeraha la goti."
JE HII NI KUKUZA KIPAJI AMA KUANGUSHA BASI SISI KAMA WASHIKADAU TUNAOMBA KAKA HANS MAHMOUD KUOMBA MSAMAHA DULLY MELODY .
Comments
Post a Comment