INTRODUCING NEW HIPHOP ARTISTE IN COAST,, LYRICAL KING.
Katika michakato yetu ya upekuzi wa burudani tulikutana na msanii wa kuchana anaetokea mombasa.
Na tulipo muuliza safari yake ya mziki haya ndio aliyotuambia.
"Mziki nilianza 2010 nikiwa kama dancer kwenye kundi la TALIBAN DANCE CREW. ilipofika 2013 niliingia katika studio za TEE hits na kuachia kibao changu cha kwanza kwa jina BADO HAWATAKI. ambacho kilipendwa na wengi hiyo ilinipa bidii ya kuwa naweza na sikukata tamaa hadi sasa niko na vibao vinne na vyote vinafanya vizuri bado kuna mengi makubwa yanakuja hivi karibuni"
Lyrical king ndo jina lake la usanii naye anahitaji support yetu kufikia azimio lake la mziki
Comments
Post a Comment