BAADA YA NAIROBI BARIDI SASA NI GOOD MORNING.


Msanii wa kizazi kipya Babu Dee Mapete ameachia kibao kipya kwa jina Good Morning ndani ya studio ya Morbiz Thunder Sound.
Wimbo huu kwa sasa upo mtandaoni unaeza kuipata mkito kwa sasa nyimbo hii iko na ujumbe utamu wa mapenzi hasa wakati huu wa valentine pata utamu wa wimbo huu sasa. Babu Dee ameshukuru mashabiki wake kwa ushirikiano waliompa kwa wimbo wake wa Nairobi Baridi kwa sasa anaomba mupokee ujio huu mpya kwa mikono miwili.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA