PRODUZA KHALID ADONDOSHA LISTI YA WAREMBO ALIOWAHI KUWA NAO!!!!!!
Baada ya baadhi ya washika dau kumuingilia produza Khalid kwa usimamizi wake kwa mdada Sis-P, Khalid aliamua kutokimya na waziwazi alikuja juu kwenye kurasa yake ya facebook na kubumburusha maneno. Produza huyu mmiliki wa A MILLION RECORDS amekua kwenye chuma moto hivi majuzi kwa kusemekana kuwa amemuweka msanii Sis-P kinyumba mbali na kumsajili kwenye studio yake.
Vilevile, project ya msanii wa hiphop kufanyiwa promo na project za bure imeleta tatanishi kwa baadhi ya washika dau. Khalid alitoa listi yake ya wachumba aliowahi kuwa nao; ni vile tu hakutaja majina manake yangelikua mengine sasa!!!
Tukitoa tu baadhi ya maneno aliyochapisha produza Khalid kwenye ukurasa wake wa facebook.....
"Wanauliza kama Sis P ni mpenzi wangu? She is a woman, I am a man, she
has a P**y I have a D**k, what's the big deal...? By the way, sijui kwa
nini mnamuweka midomoni sana ilihali nimekuwa na mahusiano mengi ya
kimapenzi na presenters wakike kuanzia Pwani FM, Baraka FM, Pili pili FM, Kaya FM, na hawa ma event organizers wa awards zenu mnazozipigia
kelele kila siku, na hata wasanii wengine, lakini hamkuwahi kuongelea
hili... Mbona sasa mnawashwa? Kati ya mahusiano hayo niliyokuwa nayo,
Kuna yenye yalikuwa just having fun na kuna yenye yalikuwa serious but
haya ku work. Nikitaja majina hapa mtashangaa, na siwezi taja. Kwa hivyo
muacheni Sis P
Wanauliza mbona kila siku unapost Sis P? Kwa sababu nime msign na namfanyia marketing because she is the only brand that I am pushing right now. Wataka niongelee mtu ambaye hanihusu ndewe wala sikio atanilipa? Kila msanii anafaa awe na manager wake na publicist wake waku market kazi zake."
SHABIKI UNA LIPI LA KUONGEZEA?????!!!!!
Wanauliza mbona kila siku unapost Sis P? Kwa sababu nime msign na namfanyia marketing because she is the only brand that I am pushing right now. Wataka niongelee mtu ambaye hanihusu ndewe wala sikio atanilipa? Kila msanii anafaa awe na manager wake na publicist wake waku market kazi zake."
SHABIKI UNA LIPI LA KUONGEZEA?????!!!!!
Comments
Post a Comment