KAA LA MOTO LAWACHOMA MARAPPER WA JIJI KUU!!!!


Tamasha la WHO IS KING likifanyika Wikendi hii na habari zinazotamba mitandaoni ni kuwa rapper Kaa La Moto aliyekuea anaiwakilisha pwani aliibuka kuwa bingwa wao kwa michano iliyosimama. Japo tamasha hilo halikuwa la freestyle battle, bali la kuvuta wingi wa mashabiki na kufreestyle topic yoyote unayopatiwa. Rapper Kaa la Moto ameamkia mitandaoni kupiga tarumbeta ya ushindi wake. La Moto aliandika haya......
"Nina Furaha sana mpaka nashindwa na la kusema...We made it..You made it..I made
it..Kwa maelezo zaidi ingia Twitter then ni follow @Kaa_moto au @Juliani au @jumpman wa
Homeboys see what's trending kwa kuandika # Whoisking ...Au uliza MTU yeyote aliyefika # AllianceFrance jana ...Anyway it wasn't a BATTLE kama vipi wengi walitarajia,ila show ya
Real emcees"Nani ana pull crowds, Nani ana freestyle any given topic on Stage na Nani ndio
kusema?"...
* Kaa La Moto Kiumbe going Live for the first time and He made it 100%.
*Coast representative sai amekua Kenya representative in Hiphop.
*Vedio show coming out soon ujionee.
* Bringing back what's taken from us..
# KenyaRealHiphop is back..
"Natoa shukurani zangu za dhati kwa my brothers ‪#‎Juliani‬ # Kvyokforce Emmanu Mmoja na team nzima ya # MyMsanii ..
*Kwa waliokuja kutu support Asanteni sana na naamini waliokosa kufika next time watafika..
*Asanteni Wa Pwani waliokuwa ndani ya nyumba,na Wa Nairobi waliochukua muda wao na
kufika jana."

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA