INTRODUCING NEW FEMALE ARTIST CRAIN NOTRIL.
Pwani Usanii: majina kamili waitwa nani?
Crain Notril:Fransisca Okelo
Pwani Usanii: wafanya aina gani ya mziki?
Crain Notril:Nafanya aina yoyote ya mziki ila kwa sasa nafanya RnB hip hop.
Pwani Usanii: jina la nyimbo yako mpya ni lipi na umefanya studio gani
Crain Notril: jina la nyimbo ni 'Baby come over 'na nimefanya Sauti Records jijini Nairobi
Pwani Usanii: lengo lako kwa kazi yako ya uimbaji
Crain Notril:Niko na nyimbo ambayo nitafanya Jungle masters na ndoto yangu ni kuwa msanii wa hip hop bora kenya 'kenyan Nicky'
Huyu msanii ako na uwezo mzuri tumpe ushirikiano mwema maana anaweza.

Comments
Post a Comment