WEZI WAJIPATA UCHI WA MNYAMA BAADA YA KUIBA GARI. BAMBURI MOMBASA
Habari zinazotufikia kwa sasa ni kwamba wezi wawili wa gari maeneo ya Bamburi, Mombasa walijipata taabani pale walipoiba gari na mambo yao kuwaendea mrama.
Kalameni hao wawili, walijipata uchi wa mnyama na kuchezea chezea matope huku wakidandia dandia gari hilo. Baadhi ya umbea uliotanda mitandaoni, ni kwamba wawili hao waliletewa mganga mganguzi na kuwafanyia vimbwenga hivyo. Wengine wanadai ya kuwa gari hilo lilikua limefungwa kupitia nguvu za Kiafrika hivyo basi anayeliiba bila shaka hujipata hali si hali.
Tazama picha.....
Comments
Post a Comment